Monday 7 November 2011

Pongezi kutoka kwa mwenyekiti

Asalamu alaykum

Kwa kweli nimepata moyo sana kwa kupokea ujumbe mbali mbali za kunipongeza kwa kuanzisha blog kama hii, inshallah nitajitahidi ili blog hii iweze kupokea mada zinazohushu nyanja mbali mbali kama ilivojieleza lengo la blog yetu, niliamua kuita zanzibarniitakayo kwa kuwa blog hii inamuhusu kila mzanzibari kwa hiyo ajione kuwa hii ni mali yake na michango na mada zao zitaheshimia,
Kuhusu kuweza kuwasiliana na Viongozi ili waweze kuona michango yetu ntajaribu hilo na ntajaribu pia kuwasiliana na blogger wenzangu kama sheikh othman na wengine kwa ajili ya kushirikiana kujenga zanzibar njema tuitakayo
Na yoyote mwenye mada ambayo anataka iwekwe kwenye blog yetu atume kwa anuani ifuatayo: cadin25@gmail.com, wakati huo huo tunategemea kuiboresha blog yetu siku hadi siku

 Wabillah Tawfiq
Mwenyekiti
ADB




No comments:

Post a Comment