Monday 7 November 2011

Kuhusu Blog

Blog yetu itakuwa inazungumzia mambo mbali mbali ya kijamii, siasa, elimu, dini, uchumi na kadhalika.

2 comments:

  1. Mr Mwenyekiti nadhani ingelikuwa vizuri kama ungeli weka link za blog nyengine za wazanzibari pamoja na Facebook. si mbaya kama kwa baadae kidogo baada ya kuwa blog ishaimarika ungeliinvite waheshima mbali mbali wa zanzibar ili wakaweza kuona na kusoma michango yetu nadhani inaweza ikawasaidia kubadilika na kuona nini wanzaibari wanataka katika nchi yao.

    sio mbaya vile vile ukaitanganza hii blog kwenye blog nyengine za wazanzibari.

    ReplyDelete
  2. Yeah naona mambo yameiva - blog inagain momentum ..big up bro

    ReplyDelete