Tuesday 8 November 2011

Prince Charles Atembelea Zanzibar


Mke wa mwana wa malkia wa Uengereza bibi Camilla akisalimiana na wanafunzi wa Kizanzibari jana katika ziara yake visiwani humo- Source : Zanzinews
Mwana malkia wa Uengereza Prince Charles akicheza ngoma maarufu ya kizanzibari msewe akiwa sambamba na waziri wa biashara Mheshimiwa Mazrui

No comments:

Post a Comment