Joke







African political math

An African politician went to the US to visit his counterpart. When the

senator invited him home for dinner, the minister was very impressed

by the lavish mansion, grounds and the costly furnishings. He asked

"How can you afford all this on a meagre senator's salary?"

The senator smiled knowingly and took him to the window.

"Can you see the river?"

"Yes"

"Can you see the bridge over it?"

"Of course", said the minister.

"10 percent", said the senator smugly.

Some time later, he had occasion to pay a return visit. The African

minister lavished all hospitality on him. When they came to his

house, the American was stunned by the huge palace the minister had

built, glittering with precious art, hundreds of servants etc. etc.

"How can you possibly afford this, on a salary?', he asked.

The minister called him to the window.

"See the river over there?"

"Sure", cried the senator.

"Can you see the bridge over it?"

The senator looked, was confused, peered closely and said -

"No, I don't see any bridge."

"100 percent", said the minister !!


JAMANI! TUWE TUNASOMA UJUMBE MARA TUUPATAPO!!!
 
Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa
hawezi kuongea, alipofikishwa hospitalini akawekewa oxygen.
Basi mchungaji akaja kumuombea.
WAKATI AKIOMBEWA, yule mgonjwa
akachukua kalamu na karatasi,
Akaandika haraka haraka  na akampa yule Mchungaji. Ambaye
badala ya kuisoma ile karatasi, akaitia kwenye
mfuko wa joho na kuendelea na maombi hadi
yule mgonjwa, AKAKATA ROHO.
Mchungaji hakuisoma ile karatasi akijua kua
ni wosia wa marehemu. Akasubiri baada ya
mazishi kwenye kikao cha ndugu akasema;
"KUNA KITU NILIPEWA NA MAREHEMU SIKU
NILIYOKUA NAMUOMBEA"
Akampa mmoja wa wandugu akisome.
Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa na
yule mgonjwa:

"UMEKANYAGA WAYA WA OXYGEN,
NAKOSA HEWA

No comments:

Post a Comment